Categories
Neno la Mungu

Maombi ya Mke Hufungua Mbingu kwa Ajili ya Mume

Maombi ya mke si jambo la kawaida. Hupenya ulimwengu wa roho na kuweka ulinzi wa kipekee kwa mume. Mwanamke anapoombea mume wake, anampa nafasi Mungu kumlinda, kumwelekeza, kumuinua na kumkomboa na mitego ya shetani.

“Maombi ya mwenye haki yaweza mengi, akiomba kwa bidii.” Yakobo 5:16b

Stormie Omartian, mwandishi wa The Power of a Praying Wife aliwahi kusema

“Hakuna mwanamke mwenye hekima anayeacha kumwombea mume wake. Maombi ni msaada wake wa karibu kuliko maneno.”

Pastor Aloyce +255 757 344860, aloyce0202@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *